Hivi huyu mgombea mmoja wa ccm anachukua form ngapi?
Maana tumeona walimu, wahandisi, wafanyabiashara na makundi mengine yameingia kwenye uchawa, shida nini?
Kuna Mdada Namdai Hela Sasa Nampigia Simu kumkumbusha Maana Leo ndo aliniambia atanilipa yeye ananiambia yupo njiani anakuja kunitembelea GETO
Masikini hela yangu!....
Miaka ya karibuni Kalio la mwanamke lina nguvu sana kwenye mahusiano.
Wengi wao wamepoteza Relation zao kwakuwa wenza wao wamepata wenye makalio makubwa.
Ndiyo maana wanawake wengi sasa wanakimbilia Uturuki na wengine Mloganzila ili waongeze vifua na makalio yao.
Mwanamke wa sasa akiwa na traako kubwa anajiamini kuliko kimbau mbau mwenye Masters degree.
Kuna Mdada Namdai Hela Sasa Nampigia Simu kumkumbusha Maana Leo ndo aliniambia atanilipa yeye ananiambia yupo njiani anakuja kunitembelea GETO
Masikini hela yangu!....
DC wa Ubungo anakamata wachache wanaojipanga barabarani, kumbe wajanja wamehamishia biashara zao mtandaoni na wanajitangaza kabisa laivu bila kujificha. Huko Telegram hali ni mbaya. Badoo. X. IG. Nao atawakamata?