Vituko mitandaoni. Tupia chako

*Halafu ile tabia ya Walimu kufungua kurasa za daftari kwa kulamba kidole IFE.*

*Utalamba Corona,chukua tahadhari.*

*Kama karatasi hazifunguki,tumia mbinu ya wahesabu fedha Benki,tia kidole kwenye sponji lenye maji.*
 
Na muda huo mzee baba unahitaji viuno viwili Tu, wazungu hawa hapa...ushauri wangu hivyo viuno viwili viache...utanishikuru baadae..japo najua ni ngumu Sana kuviacha ila nna uhakika hivyo viwili ndo vyenye balaa lenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…