We mzee umeanza kupotosha idea yako uliyoianzisha wewe mwenyewe.
Tuseme wazo lako la mwazo lilikua kutuletea vibwengo na mapicha ya kutisha ila ukapitia mlango wa nyuma kuwasilisha wazo lako au!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii hapana aiseee haikubaliki kabisaaaa😂😂😂😂😂😂