madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
kwenda mtu wako halafu anamkodolea mijicho mtu mwingine duuuuuuuuNajua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...
Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]
Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuuSasa mzee ukiona club bila manzi hutainjoy si unatafta manzi yako wa kutoka nae tu mzee. Mi binafsi club naona hainogi bila manzi yani hasa nikienda bila kampani ya wahuni wangu wawili watatu.
Ile feeling unaona mwamba pembeni amevaa simple ila classic kazungukwa na chupi kibao zenye maumbo ya hatari mara kashika kiuno huku, mwingine kaja kujinong'onezesha kala kabusu. Af msela hana pressure kabisa anainjoy mbaya kabisa akitaka kucheza anajivutia mmoja kila wimbo anacheza na mwengine!
Japo sasa kuna umri ukifika utajikuta unaishia tu Pub kupiga stori chache na washikaji halafu saa tatu au nne unakuwa ushaondoka maana ukizidisha hapo simu ntakazopigiwa siyo za dunia hii.Kweli kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunakuwaga na wivu wa kijinga sana kunako club [emoji4]Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si utakuwa unateswa sana na mapenzi ya kitapeli ya bongoTunaruka nao humo humo...nikienda na manzi lazima tutagombana tu,...mm Nina wivu Sana, nikienda toilet nikakuta boya anamzenga zenga lazima nitamaind tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hio feeling huwa amazing sana, chupa zikishakaa mahali pake af unaona maua yamekuzunguka tu. Unagusa huyu unaacha mara huyu anakudekea mara vile hahah! Unazungusha round tu!Kuna mmoja Dodoma alitaka kumpiga mkaka tulie nae kisa hataki aongee na sisi. Tuko wanawake kama watano halafu dume moja tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii inaudhi sana..halafu wanayo sana wadada wa vyuoni.Na ule upuuzi mwingine club, mdada yuko radhi amkatie mauno rafiki yake wa kike, kuliko akukatie mauono ww mwanaume..mara abambiwe na apakatwe na rafiki yake wa kike, ukienda ww mwanaume kubambia mdada anakukwepa, sasa unabaki unajiuliza hawa wadada wanasagana au..
Hlf mzigua wangu nlikuwa sijui kumbe ww una makalio makubwa looh nisubiri pm huko Mzigua90 puker
Hahahaha mimi hoi..!!Upo club unakuta mlevi ameacha kucheza mziki kaingia jf anaandika thread kama yako
Hao wa kupenda kupigana ndio sitaki hata kuwasikia...nikiona rafiki una hizo itikadi hatuweza kuwa pamoja kwenye maeneo kama hayaoKuna washkaji wahutubiaji. Yani mtu anaongea non-stop alafu anataka asikilizwe yeye tu!
Hua napenda kunywa kimya kimya. Ni bora nitoke mwenyewe kuliko kutoka na company ya aina hiyo.
Malaya wasumbufu pia ni kero. Akikuona uko peke yako anajua utakua mteja. Mmoja kanifuata jana out of no where ananiuliza una sh ngapi?
Nikamwambia i buy booze, not pussy!
Alafu kuna hawa ambao wakilewa wanajikuta Floyd Mayweather. Matokeo yake kesho anaamkia MOI.
- KANA -
Kero kubwa ni wale wazee wa vitonga ambao kila siku kazi yao kuomba kununuliwa bia.Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...
Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]
Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakera Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kero kubwa ni wale wazee wa vitonga ambao kila siku kazi yao kuomba kununuliwa bia.
Tena maumivu yake Kama mke... kumbe umemkuta club [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamfuata demu kucheza nae halafu anakua mkali sitakii unikome halafu kuna fala tuu anakuja anamshika kiuno halafu mwamba unaona inauma kinyama.
Demu anakuita mume wangu mwisho siku anakutema sasa kuna siku sikukubali nilianzisha tifu la kufa mtu na demu nikachukua tena kiulain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anayenifata ndiyo nawapenda ilimradi awe analipa fresh.Kuna washkaji wahutubiaji. Yani mtu anaongea non-stop alafu anataka asikilizwe yeye tu!
Hua napenda kunywa kimya kimya. Ni bora nitoke mwenyewe kuliko kutoka na company ya aina hiyo.
Malaya wasumbufu pia ni kero. Akikuona uko peke yako anajua utakua mteja. Mmoja kanifuata jana out of no where ananiuliza una sh ngapi?
Nikamwambia i buy booze, not pussy!
Alafu kuna hawa ambao wakilewa wanajikuta Floyd Mayweather. Matokeo yake kesho anaamkia MOI.
- KANA -
Aisee 😅😅😅Poleni sanaUle upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...unaishije?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huwa mnanichekesha hapa tu, unamfuata mtu hata humjui mzee ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamfuata demu kucheza nae halafu anakua mkali sitakii unikome halafu kuna fala tuu anakuja anamshika kiuno halafu mwamba unaona inauma kinyama.
Demu anakuita mume wangu mwisho siku anakutema sasa kuna siku sikukubali nilianzisha tifu la kufa mtu na demu nikachukua tena kiulain.
Sent using Jamii Forums mobile app