[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watanzania Ni kwikwiUpo umekaa counter mtu anakuja kukuomba umnunulie kinywaji unajiuliza kaja fanya nini na karipia kabisa kiingilio au mtu anakuja kukuuliza sasa hivi sangapi?
mpuuzi mpuuzi tu
Kweli kabisa mkuuSehemu yoyote ile yenye changanyikeni lazima ukute mambo kama hayo, na kiukweli yana raha yake kwasababu yanakupa mtazamo mwingine kabisa wa maisha na unajifunza mengi.
Zile sehemu za gharama hazina vituko kama hivi, maana mtazungumzia tu kazi, biashara na siasa. Changanyikeni kuna raha yake tu, be it a pub, restaurant or a night club.
Wadau...mpo kwenye harakati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikifika home salama, nitawapa kero nilizokutana nazo!
- KANA -
Ha ha ha ha Jibu la kibabe sana hiloUle upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
uyu dada ana hatari sio kwa jibu hiloHa ha ha ha Jibu la kibabe sana hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ule upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengine mkikatiwa kidogo tu mnara unapanda. Mwenyewe napenda kukatikiana na mashoga zangu naenjoy haswa...Na ule upuuzi mwingine club, mdada yuko radhi amkatie mauno rafiki yake wa kike, kuliko akukatie mauono ww mwanaume..mara abambiwe na apakatwe na rafiki yake wa kike, ukienda ww mwanaume kubambia mdada anakukwepa, sasa unabaki unajiuliza hawa wadada wanasagana au..
Hlf mzigua wangu nlikuwa sijui kumbe ww una makalio makubwa looh nisubiri pm huko Mzigua90 puker
Sio lazima kila unachoambiwa na marafiki lazima ukifanye...kuwa na msimamo wa kuchagua unachokipenda.Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe inakukutaga hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake....wabinafsi sanaNa ule upuuzi mwingine club, mdada yuko radhi amkatie mauno rafiki yake wa kike, kuliko akukatie mauono ww mwanaume..mara abambiwe na apakatwe na rafiki yake wa kike, ukienda ww mwanaume kubambia mdada anakukwepa, sasa unabaki unajiuliza hawa wadada wanasagana au..
Hlf mzigua wangu nlikuwa sijui kumbe ww una makalio makubwa looh nisubiri pm huko Mzigua90 puker
Huo...Ni uchoyo na roho mbayaTatizo wengine mkikatiwa kidogo tu mnara unapanda. Mwenyewe napenda kukatikiana na mashoga zangu naenjoy haswa...
Wala hata sinalo kubwa basi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app