Vitu vya ndani vinauzwa

Vitu vya ndani vinauzwa

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,332
Wadau habari?

Kuna mdau anahamia mkoa wa mbali kikazi na kwa sababu hiyo ameamu kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani kama ifuatavyo:

1. Sofa (za watu wawili*3),
2. jiko la gesi la kioo (2 plates)
3. Mtungi wa gesi (Mihan 15Kg)
4. Flat screen Tv (32" TCL),
5. Kitanda cha chuma (6*5 ),
6. Godoro 6*5 (Confy),
7. Fridge (Hiscence) n.k.

Mdau yupo Morogoro mjini. Kama unahitaji chochote na bei yake njoo inbox.

NB: Vitu hivi vitakuwa sokoni hadi ijumaa jioni.

Karibu & asante.
 
Weka jukwaa la matangazo madogo, pia weka picha
 
Yaani huyu angekuwa dar..angechezea pesa sasa hivi..!! Mtungi wa gesi na jiko lake.
 
Mambo ya bei inbox ndiyo kupigana huku
 
Wadau habari?

Kuna mdau anahamia mkoa wa mbali kikazi na kwa sababu hiyo ameamu kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani kama ifuatavyo:

1. Sofa (za watu wawili*3),
2. jiko la gesi la kioo (2 plates)
3. Mtungi wa gesi (Mihan 15Kg)
4. Flat screen Tv (32" TCL),
5. Kitanda cha chuma (6*5 ),
6. Godoro 6*5 (Confy),
7. Fridge (Hiscence) n.k.

Mdau yupo Morogoro mjini. Kama unahitaji chochote na bei yake njoo inbox.

NB: Vitu hivi vitakuwa sokoni hadi ijumaa jioni.

Karibu & asante.
WEKA PICHA NA BEI MKUU
 
Dah nilivyosoma "vitu vya ndani" sijui hata nilikuwa nawaza nini nikaja na hii "velocity"
 
Updates: Kilichobaki ni SOFA PEKEE mpaka sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom