Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,915
- 6,717
Kuna tafiti niliisoma inasema waajiri na wafanyakazi kiujumla wanapenda kufanya kazi na Good looking individuals either pretty woman au handsome folkKama ipo, ipo tu. Unaweza ukajiuma uma kwenye interview na kazi ukapata endapo watu wa hapo wamekupenda hasa kimuonekano!
Ukiwa na damu ya kunguni, hata ujieleze vizuri kiasi gani unatoka bila bila!
Hata Kama kichwani Ni zero brain?Kuna tafiti niliisoma inasema waajiri na wafanyakazi kiujumla wanapenda kufanya kazi na Good looking individuals either pretty woman au handsome folk
Vyotee!Kwa maana hiyo mtoa maada unataka tuseme maneno wanayotaka kuyaskia na sio kilicho kichwani mwetu
Kama ipo, ipo tu. Unaweza ukajiuma uma kwenye interview na kazi ukapataKama ipo, ipo tu. Unaweza ukajiuma uma kwenye interview na kazi ukapata endapo watu wa hapo wamekupenda hasa kimuonekano!
Ukiwa na damu ya kunguni, hata ujieleze vizuri kiasi gani unatoka bila bila!
Hata Kama kichwani Ni zero brain?
Kuna namna umetuacha mkuu!!Other factors zinakuwa ceteris paribus
Duh...sie sura personal tunakataliwa na mademu na sasa hadi kazi nazo hawtutaki maofisini....aise!Kuna tafiti niliisoma inasema waajiri na wafanyakazi kiujumla wanapenda kufanya kazi na Good looking individuals either pretty woman au handsome folk
Duh...sie sura personal tunakataliwa na mademu na sasa hadi kazi nazo hawtutaki maofisini....aise!
Kuna namna umetuacha mkuu!!
Kwa manufaa ya kampuni na pia taifa kwa ujumla ni bora nimpe kazi mwnmake mwenye sura personal.nimecheka kwa sauti japo usiku
Sasa Mzabzab tuseme ww ni Hiring Manager wamekuja wanawake kufanya interview wote wana uwezo unaofanana kichwani
Ila kuna mmoja ana sura ya baba ake na mwingine ana sura ya mdoli na shape ya coca cola utamuajiri yupi
Kwa manufaa ya kampuni na pia taifa kwa ujumla ni bora nimpe kazi mwnmake mwenye sura personal.
Kwanza nitakuwa nailinda kampuni kwa kupunguza uwezekano wa sex scandals. Alishindwa clinton pamoja na ubusy wa kurun dunia.
Pili ni kwamba pisi kali ataweza kuishi tuu maana sie wanaume ikija suala la kumwaga mihela kwa pisi kali ili tuipeleke moto mbususu ni wepesi sana. Huyu sura personal kwa kweli akitomgozwa 2020 mtongozo mwengine atauona 2023 so bora awe na kazi yake angalau ana uhakika wa kuishi...lakini kumbuka hii ina apply kwa job ambazo huyu sura personal hataomekana sana kwenye front line....