Habari wakuu, nahitaji kukodi Gari Aina ya vits au staret ya kukodi kwa mwezi mzima kwa ajili ya kutembelea wateja wangu wa maeneo mbali mbali jijini dar. Njoo na offer yako na terms zako.