Tunauza Vitoto vya Nguruwe viko 14 ...
Wako kwenye Hali nzuri na wana afya safi kabisa , chanjo zote za kila mwezi wanachomwa
Arusha Ngaramtoni ya Juu
0754371183 au 0782954687
Mkuu nyuzi kama hizi unaweza na bei kabisa mtu ajipimie mwenyewe hayo masuala ya mimi kukupigia simu ndo uniambie bei ni kama kwanza biashara upya kabisaaaa