Viti vya Maskuli vinauzwa

sedouf

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
28
Reaction score
10
Tuna viti vya maskuli.
Viti vimeshatumika lakinini vipo katika hali nzuri.
Viti vipo njiani kupakiwa kutoka Toronto kuelekea Zanzibar.
Kwa atakayetaka tuna viti 400.

Tuwasiliane kwa 011255777422234 (nassir) au
sedouf@gmail.com
14167463114.
Ahsanteni.
 

Attachments

  • IMG_20150403_094447.jpg
    462.3 KB · Views: 182
  • IMG_20150403_094511.jpg
    564.1 KB · Views: 146
  • IMG_20150403_094451.jpg
    450.9 KB · Views: 130
  • IMG_20150403_094516.jpg
    510.5 KB · Views: 136
Tuwasiliane kwa watakaohitajia viti vya maskuli
viti vipo katika hali nzuri kabisa
 
Amiiii Sedouf,
Wambaaje,wabessaaa

Sasa mie ningekushauri useme viti tu vinauzwa,,maana shule zetu nyingi zenyewe wanakalia viti vya mbao na hivyo vinatumika hadi kwenye kumbi za sherehe maana vipo poa.

Sasa uki target shule tu ili kupata uuzaji wa jumla pia upande wa pili unaukosa.
Ni wazo lango tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…