D Dynamics JF-Expert Member Joined Feb 2, 2024 Posts 249 Reaction score 352 Dec 17, 2024 #1 Habari wadau.. Viti vipo 10 Vinapatikana DAR Bei 40000 kila kimoja. KARIBUNI SANA!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,773 Dec 17, 2024 #2 @Simbafctanzania
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,773 Dec 17, 2024 #3 Viko vizuri ushawahi peleka pale ukumbi wa Chuo kikuu huria? Juzi juzi tulikua na event pale kulikuwa na shida ya viti, unaweza wajaribu pia.
Viko vizuri ushawahi peleka pale ukumbi wa Chuo kikuu huria? Juzi juzi tulikua na event pale kulikuwa na shida ya viti, unaweza wajaribu pia.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,958 Reaction score 117,312 Dec 17, 2024 #4 Niliposoma heading nikajua ni vile viti vilivyo vunjwa kwa Mkapa.
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,201 Dec 18, 2024 #5 Kawauzie watu wa Simba vitawasaidia sana maana wanaongoza kwa kuvunja viti.