MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
MJ1 hii balaaaa!!!!
kweli kuna siku mtu anaweza kubwatukiwa!!! mmh lakini jamani si huyo aliyekuoa ndo alikuapa nafasi ya kufanyiwa hayo yote
(if he was not going to marry you nani angekufanyia kitchen party?)
...........Ni kweli dada but kuna wengine wetu si wastaarabu. Mtu anapewa mtaji na mumewe na biashara ikichanganya anamea pembe dada yangu.
hapana mimi nafikiri kidooooogo kuwa kuna limit bwana- mlishasema kitchen party sasa vitanda vya nini? kwani waume wanaooa siku hizi hawana vitanda?
Mjukuu imekuwaje leo umeamua kuanika kitchen party yako hadharani?
Kama una wasiwasi yanaweza tokea hayo! Just double 'em hata kama yatakaa store room lakini backup lazima iwepo! Ni kawaida sana kusikia mwanamke akilalama mwanaume mwenyewe nalisha, natunza, analala kwenye kitanda changu!, nk Ukisikia mwanaume anasema kinyume chake huyo utamweka kwenye kundi la wagonjwa wa akili!
Hali hii hutokea kwa sababu siku zote mwanamke anataka mme wake ashike usukani! A man should be incharge! Hiyo ni natural na kwa bahati mbaya sana mwanamke akipata mwanaume ambaye ni inferior ndio utasikia hayo!! Mwanaume mwenyewe utafikiri mwamamke!!
Rafiki yangu mmoja niliwahi mwuliza kuwa anataka mwanaume wa aina gani! Akaniambia right away anataka mwanaume mwanaume kweli! Sio wa kuambiwa twende dinner leo! hayaaa! Ninunulie chain ya gold hayaaa!!! Yaani dume linalopelekwa pelekwa tu?
I like women! Wangekuwa wanalimwa kama mpunga au mahindi ninge walima mpaka kiangazi!!
thought I would be dead?thank God youare awake!!!
thought I would be dead?
BTW hongera kwa siku yenu mamushka!
Labda inawasaidia kuanza maisha!Lakini turudi nyuma twende mbele ; mijizawadi namna hii inawasaidia nini wana ndoa? wanajiandaa kimaisha kweli ?
hahaaaa jana i looked for u weeeeeeeeeeeeeeee but wea nikasema basi ntakuja k'ndoni japo nitie udongo shimoni tu!!!
biggy siku gani? remind me plz..........
WLATA day...
Soma katikati ya mistari hapo.....
Mamushka ulisahau nilikuambieni ningerest in piis kwa jana? LOL!
Ndio raha ya kuwa na marafiki waliotokea kwenye koo za watakatifu Yuda Tadei, Maria Magdalene.......aaaah gotch you!! mi nshamaliza kuisherekea last week!!!! ila msaada naendelea kutoa kama kawaida
sikusahau lakini kumbuka pale mimi nilikwambia ntakutafuta tu no mata wat....lakini biggy ukanidharau!!! (am not suprised that u 4got)lol!!
anyway umeamka maana ile hali ilikuwa tishio
Babu na Mamushka nyie kwenye vichen party vyenu mlizawadiwa mikeka? maana naona mmekaa kabisa na kuazisha soga!!
Babu mie sikuwa na pati ya jikoni nadhani ndio maana sijafundika!!
Sorry eh BabuUbongo wangu wa kichina unaniambia hapo umenitukana. Unless you apologise...............!
Babu na Mamushka nyie kwenye vichen party vyenu mlizawadiwa mikeka? maana naona mmekaa kabisa na kuazisha soga!!
Babu mie sikuwa na pati ya jikoni nadhani ndio maana sijafundika!!
Ndio raha ya kuwa na marafiki waliotokea kwenye koo za watakatifu Yuda Tadei, Maria Magdalene.......