Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
kule nlikuwa nasoma, na kwa sasa nauli sina ya kwenda huko. je siri kali wamejipangaje kunifkishia kitambulishoutachukulia kule ulipojiandikisha na si vinginevyo
Kwa sasa mchakato wa vitambulisho vya taifa uko mkoani Morogoro. ila nina maswali kiasi juu ya huu mchakato
- Mimi nlijisajili tegeta ila kwa sasa maisha yangu ni mkoani Dodoma, je nijisajili tena?
- je kuna tofauti gani kati ya vitambulisho vya taifa na kitambulisho cha mpiga kura(kiutendaji)
- Wanapotangaza wanasema usipokuwa nacho unahesabiwa sio raia, je watanirudisha nchi gani kama mimi sio raia(nimeanza kujua mitaa ya marekani ili wakinikamata naenda U.S.A uzuri english yangu inanibeba)
- Hivi huu mchakat ulipata mawazo au ushauri kutoka kwa wasomi au ndo kupeana ridhiki mtoto wa baba na mjomba.?
vinatofauti gani na vya wapiga kuraiyo kua kama hauna sio raia sio kweli, ni haki ya kila raia kua nacho, those above 18, ila ukiwa huna haimaanishi kua unakosa haki za uraia
wenye mamlaka ya kudefine uraia wako ni idara ya uhamiaji Tanzania na sio NIDA
m nasubiri awamu ijayo hapa dar.nijiandikishe upya.awamu ya kwanza niliishia kuliona jina,kasheshe likaanza kwenye rang ya nguo,barua ya mjumbe, nikakwamia hapo