Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Nimeipenda hii self discipline, ngoja niiweke katika plan ya 2025 🤝Nina ratiba ya kusoma page 25 asubuh ninapoenda job na page 25 ninaporudi job yaani kwa siku maximum 50 pages na kama nikipata muda wa ziada inakuwa zaidi ya hapo kwa siku maana sio mdau sana wa mitandao ya kijamii ambayo wengi inawapotezea mda mimi natumia WhatsApp Twitter na jamii forum baaasi tena mara moja moja sana jamii forum ndio natumia mda mwingi sana na chochote ninachofanya kabla sijaanza lazima nitumie saaa kuangalia mda ili nijue ni mda gani natumia kwenye kitu flani hata kama ni kazi nafanya lazima niangalie mda nijue nimetumia mda kukamilisha
Zingatia time management na excessive use of social network.
Kitabu cha atomic habits kilinisaidia sana kupunguza matumizi ya mitandao ya kijamii.
Mkuu naomba uniwekee hivyo vitabu na mimi nipate madiniMimi nimesoma only four books .
Binafsi huwa napend kujifunza haya mambo .
Money and hustling
Emotions and EI
Universe laws .
Hongera sana , Mimi Kwa mwaka nikisoma sana ni vitabu 4 , naomba unisaidiye mbinu inayo kuwezesha kusoma vitabu VINGI hivyo mkuu.Habari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.
Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.
Alamsik
Hizo stori ni chachu ya kuuza hivyo vitabu. Mimi sijasema mtu asisome vitabu ila napinga mtu kusomasoma hovyo.Pole mkuu,
Haijalishi upo kada gani lazima usome
Finance books,
Self help books,
Emotions books,
Kuna kitabu kinaitwa EGO IS THE ENEMY kinasema you will be hired 20% by IQ but you will be fired by 80% your EQ fuatilia yule kamanda wa dodoma alitumbuliwa kwasababu gani kwenye lile tukio la binti wa yombo
Na viongozi wengi kwa nini wanafeli kwenye uongozi wao ni kwasababu wanakosa EQ(emotional intelligence)
Vitabu vinakusaidia uzungumze nini kwa wakati gani viongozi wote duniani wanasoma vitabu tena vya mchanganyiko mbali mbali lazima ujifunze baadhi ya vitu kupitia vitabu la sivyo kwa hali ya sasa itakuwa unaenda anticlokwise.
Kitabu cha THINK BIG cha ben carson anaelezea jinsi alivyotoka kuwa kilaza wa darasa mpaka kuwa daktari bingwa kupitia vitabu baada ya mama yake kumwambia ampe SUMMARY ya vitabu vinne kila mwezi baada ya hapo maisha ya ben carson darasani yalibadilika mpaka mwalimu akashangaa tafuta kitabu cha Ben Carson THINK BIG NA GIFTED HANDS wape wototo wako wasome na wewe usome halafu urudi tena hapa jamvini kuleta mrejesho.
Alamsik.
Tuwekee baadhi PDF zake hapa na sisi tusome mkuuHabari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.
Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.
Alamsik.
Swala la wafanyakazi kununua magari kwa mkopo huku hawana kipato cha kueleweka nalo hilo mpaka usome kitabu for real!!!!Siwezi kusema kila kitu nilichofanikiwa kupitia vitabu ila nina project kubwa ipo kwenye process ya kukamilisha tena kwenye production mimi nitasema kwasababu ya vitabu wakati wafanyakazi wengi wanakopa hela kununua gari au kujenga mimi nataka nikachukue mkopo kwa ajili ya hyo project and I believe it will work 100% kwasababu hata nafanya ila kwa small scale nataka niifanye kwenye large scale they take loans to buy cars and building their dream house I will do it but in different perception I want to change other people life inshaallah.
Muongo mkubwa sana wewe. Huwezi soma hivyo vitabu kwa mwaka mmoja..labda ulikuwa unasoma headingHabari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.
Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.
Alamsik.
Wewe genius mkuu,umechagua fungu lililo jema sana,keep it up in the air.I don't watch TV situmii tiktok situmii Instagram kiufupi natumia WhatsApp tu tena kwasababu maalum la sivyo pia ningepiga chini kiufupi sipendi mitandao ya kijamii kwa hyo mda mwingi ambao watu wanatumia kuperuzi mitandaoni mimi nasoma kitabu nikiwa njiani au sehemu yenye utulivu I like book.
Inawezekana mkuu katika hyo list kitabu nilichotumia mda mrefu ni long walk to freedom by NELSON Mandela maana nikirefu haswa nilikuwa ninakisoma sana sana siku za weekend nilitumia miezi miwili kwasababu ya mpangilio wake ulivyo ila sikulazimishi uniamini mkuu.Muongo mkubwa sana wewe. Huwezi soma hivyo vitabu kwa mwaka mmoja..labda ulikuwa unasoma heading
Asante mkuu tupia softcopy zake ili tuweke kwenye list ya mwakani.Hongera sana Mkuu mimi nimesoma hivi:
1. Mashujaa wa Tanzania cha J.E. Mhina
2. Reli ya Uhuru cha J.P. Mbonde
3. Saving Justice by James Covey
4. Negotiating with Tough Customers by Steve Reilly
5. The White Nile by Alan Moorehead
6. The Art of Negotiations by Tim Castle
7. Duarani cha Amos Bwire
8. Meditations by Marcus Aurelius
9. Edible Economics by Ha-Joon Chang
10. Surrounded by Setbacks by Thomas Erikson
11. Up and Out of Poverty by Xi Jinping
12. A book of Secrets by Derren Brown
13. On my Father's Wings by Michael Shirima
14. Ukombozi kutoka kitabuni cha Maneno A. Mung'ong'o
15. Emotion by Design by Greg Hoffman
16. Only the Paranoid Survive by Andrew Grove
17. Historia ya Mapambano ya Mwafrika cha Hilary Mapunda
18. Mzazi acha Uzembe cha John Magoda
19. Livingstone's Last Journey by Reginald Coupland
20. Learning from Construction Failures by Peter Campbell
21. The Lenovo Way by Gina Qiao and Yolanda Conyers
22. The Monk who sold his Ferrari by Robin Sharma
23. Operesheni Kashmir cha Kamanda Amata
24. The new case for Gold by James Ruckards
25. So Good! They can't Ignore You by Carl Newport
26. Methali za Wahaya cha Mujuni na Dina Byabato
27. Outlive by Dr. Peter Attia
28. The Body keeps the score by Bessel Van Der Kolk
29. Cha Kale ni Dhahabu cha Mzee Yusuf Makamba
30. Mzozo wa ardhi ya Wameru cha Kirilo Japhet na Earl Seaton
31. Digital Minimalism by Carl Newport
32. Healing is The New High by Vex King.
Kwahiyo kitu gani umegain kwenye hivyo vitabu vyote kama si kupoteza muda tu.I don't watch TV situmii tiktok situmii Instagram kiufupi natumia WhatsApp tu tena kwasababu maalum la sivyo pia ningepiga chini kiufupi sipendi mitandao ya kijamii kwa hyo mda mwingi ambao watu wanatumia kuperuzi mitandaoni mimi nasoma kitabu nikiwa njiani au sehemu yenye utulivu I like book.
Hii kitu ni Pandemic kama Covid kumbe 😄hichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.