vitabu hivi nitapata wapi?

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Wakuu heshima kwenu!
Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama wale wa zamani
Ombi mwenye kuwa na kitabu kimojawapo anitjulishe nahitaji sana

1.KUFA NA KUPONA
2.NJAMA
3.KIKOSI CHA KISASI
4.KAMLETE AKIBISHA MLIPUE l(t MAIGE akimbilia tripol libya
5.OPERATION SUKUMA NAMBA NANE
6.TUANZE LINI (hiki ni cha Kajubi mkajanga)
7.CHINI YA ULINZI (suresh kanji kijana wa kiindi azamilia kuwaua wanawake wote waliowahi kufanya kazi ktk bar ya marah majina yao Ni Zarina,zabiba zamna zakia mmoja nimemsahau
8.AMA ZAO AMA ZANGU
9.TUTARUDI NA ROHO ZETU
10.KAZIKWA YU HAI
11.IKIBIDI KUFA NIFE
12.MNUKO WA DAMU
13.MBIO ZA JASUSI
14.USIKU WA GIZA
15.ADILI NA NDUGUZE
16.UMELOGWA AU UMETUMWA (hiki sizani kama kuna anaekijua niliisoma zamani)
17.PEPO YA MABWEGE (na Harrison mwakyembe)
18.SUDI YA YOHANA na chachage seith chachage
19.BADO MMOJA
20.KARATASI ZA SIRI (ray sibanda Hida hyaman na S temaligwe kule milima ya oblongoto uganda)
21.ROHO MKONONI
 
ADILI NA NDUGUZE - Shaaban Robert. Hiki nitakipata wapi??????
 
Tunahitaji watunzi wapya,ingawa sina hakika kama bado soko lipo kama zamani.Maana hiki kizazi cha series na facebook sidhani kama kitakuelewa,labda utunge story ya mapenzi.lol
 
Ni mwakyembe huyu huyu wa treni ndiye aliyetunga Pepo ya Mabwege? nilikisoma 1984 na bado namkumbuka Rozina na lile gazeti la kioo cha bia.
mh. aliyemuua Rozina kama Ridhiwani wa jk vile
 
Na yale magazeti ya ULATATI uliwahi kuyasoma nipe jibu?
 
Yap ni Rozia Simango. NA alisimamia utashi wake hakuwa tayari kumkubali mtoto wa wazir yule
 
mkuu hakiaka ndo hicho Nakumbuka kila kitu napenda kupitia tena niuone mji wa mawe
 

umesahau

SAFARI ZA HATARI ZA AKAJASE MBAMBA.

NITAKUSHITAKI KUZIMU.
 
Roho Mkononi kiliandikwa na Hamie Rajab.Nyota wa riwaya ni jasusi Ray Sibanda kutoka Tanzania
 
Simu ya kifo hukitaki??
 
Tunahitaji watunzi wapya,ingawa sina hakika kama bado soko lipo kama zamani.Maana hiki kizazi cha series na facebook sidhani kama kitakuelewa,labda utunge story ya mapenzi.lol
Nini kifanyike??



Hivi vitabu vinabidi viwe katika soft copy ili viende na wakati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…