Ingefaa ungejiuliza wewe binafsi! Mie sina cha kujiuliza hapo!Lakini tujiulize hata kama kuna kesi, kwanini ifunguliwe leo Ijumaa ya Krismasi? Kwa kweli hawa CCM wanatupeleka pabaya.
Zitto hatatendewa ndivyo sivyo. Kikwete ni rais makini sana kwa zito hatakubali zito akamatwe. Wampe zito simu ampigie kikwete na ataachiwa mara moja. Kikwete ni raisi makini mno kuruhusu uharamia huo wa demokrasia.
Pole Zito, huu ni mwanzo. endelea kujifunza through a hard way ili ujue kuwa Kikwete is rais si chochote.
kama Zitto huyuhuyu wiki mbili zilizopita alituhumiwa kuwa na ukaribu wa kimawasiliano na kimkakati na watawala na ushahidi ukaanikwa, inakuwaje leo watanzania muamini watawala wanamuonea kwa kumfungulia kesi! Cha kujiuliza ni nani yuko against Zitto kwenye hiyo kesi kama kweli ipo, je watawala walewale wanaomtumia? au ni nani mwenye ubavu wa kumsumbua agent wa wazee? Au ndio tatizo lilelile la watanzania
kila siku kudanganywa kwa propagandaa za kupoteza lengo? TAFAKARI