Vita kati ya wangoni na wamatengo

History safi lete mwendelezo nimekumbuka jiwe mbuji nasikia kuna mzungu aliingia kwenye mapango hakuonekana mpk leo
 
Malizia muendelezo hapo nimeshaweka
Asante nimepta historia ya home japo kwa kifupi
sawa nakama una historia kwann wandengereko walijitenga kutoka kabila la wangoni utufaamishe
Asante wa kuyumba
From maguu
The ngoni people from south Africa ,hawa Jamaa kwa vita walikua vizuri ,wanakuja kwenu wanawapiga,na wanachukua maeneo yenu,kuanzia enzi zao za shaka zulu na zwenge ndaba.
Wakati wa maji maji Luna wangoni walikimbilia undenherekoni na umatumbi wapo wanatedi had leo
Mmmh haya
History safi lete mwendelezo nimekumbuka jiwe mbuji nasikia kuna mzungu aliingia kwenye mapango hakuonekana mpk leo
 
Naomba kuuliza swali mkuu. Katika maelezo ya history hiyo ya wamatengo, maelezo mengi yanawahusu wamatengo wa Litembo, wale wa Mbinga, Manda, Lupingu, Liuli na Mbamba Bay je history yao inaendaje?
 
Mkuu ukipata nafasi naomba umchmbue huyu NKOSI MHALULE niweze kumjua maana sijapata historia yake vzuri nimefka.sana hapo matomondo na base yake kwa ujumla kijiji cha MHALULE lakn sjapata data zake huyu shujaa
 
Sasa mbona wamatengo baba wanaiya atate, mama wanaita amabo
 
Kama mwaka 1955 kiswahili kizuri hivi kiliandikwa, ina maana Mwalim Nyerere siye ndiye mwenezaji wa lugha ya kiswahili kama inavyosadikika.
Hamna historia ya kiswahili inayoeleza Nyerere alieneneza kiswahili Tanzania na afrika mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…