Visa zinapatikana on arrival. Hakuna ubalozi hapa bongo, visa zinapatikana tunis airport kwa 50 dinar hakikisha immigration ya tunis wanalojina lako, yaani yule atakaekualika apeleke jina pale tunis airport na akupe wewe barua ya mualiko. Hakikisha unaitunza vizuri kwani tunis air ni wakorofi sana kama hauna barua ya mualiko inayothibitisha visa itapatikana on arrival