Visa vya jimama la KINYAKYUSA

Mwache akome,anatengewa, anakula harafu hulipi?...alipe kwa kadri alivokula!...
 
Bujibuji dada yangu mbona kamkaba mtu,ilikuaje?
 
Bhakikulu bha kumbwani baka na maka, bhasekele fijo bhakabhagila kubhomba mbombo, bhiganile kutugasya mu saluni itolo

Utulindwana twa mumbwani tukamanya pakuruka imilili twisibhile si tanitani, kangi tukabhagila kupimba ibosolo
 
Leo nimejua...kumbe Bujibuji ni Mnyakyusa!!! Wewe ni mnyakyusa wa wapi? ...Wilaya ya Rungwe au Kyela?
 
Imagine ndo mke wako uyo home full adabu!
 
Kwani mkiandika Kiswahili kuna shida gani jamani? Mwalimu alishaondoa ukabila bwana, watu kama nyie wananiudhi sana. Kama mnataka kuongea kilugha tumianeni PMs hapa ni jukwaa la umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…