Visa vya COVID-19 vimefikia 607, Mtanzania ni mmoja kati ya visa vilivyotangazwa leo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Katibu Mkuu, Rashid Aman ametangaza wagonjwa wapya 25 wa COVID19 ambapo 22 ni Wakenya, 1 Tanzania, 1 Uganda na 1 ni raia wa China. Kenya ina jumla ya visa 607 mpaka sasa.

Vilevile, wagonjwa wengine watatu wamefariki na idadi ya vifo imefikia 29. Aman pia amesema wagonjwa 7 wamepona na idadi ya waliopona ni 197

Serikali imetoa onyo kwa raia waliokimbia maeneo ya Eastleigh na Old Town baada ya Mamlaka kutangaza kuyafunga kuanzia jana.

========

The government has warned Kenyans who fled from Eastleigh and Old Town, after a lockdown was announced.

"We are appealing to these families. For those welcoming those members, you are placing yourself in danger. Those within these areas, please remain in there," Health CAS Rashid Aman said.

"If you are infected unknowingly, then you have spread the disease. By moving out there, there is a chance that you are a carrier. You must assume that you are a carrier."

Aman said this should remain in the conscience of people sneaking out.

On Wednesday, the government locked down Eastleigh and Old Town as coronavirus cases surge.

There will be no movement into and out of the areas effective Wednesday at 7pm for 15 days, Health CS Mutahi Kagwe said.

"You cannot leave the area to go to another area. This will take place for 15 days," he said.

But immediately he announced this, there were reports that some people sneaked to go to neighboring estates.

Kenya has recorded 25 new cases bringing total number to 607.

Aman said from this number, 22 are Kenyans, one Ugandan, one Tanzanian and one Chinese.

A total of 21 are male and four are female.

Aman said Eastleigh is leading with nine cases. Kenya has recorded seven new discharges, bringing the total to 197.

Three more patients have died, bringing the total to 29.

Source: The Star
 
Huyo Mtanzania lazima awe ni dereva wa lori

Kwa Tanzania naona kakisiwa kadogo Zanzibar lakini kanapandisha balaa, kwa bara wala msitaje maana mkiamua kuwa wakweli mtapanic sana kwa namba za kiajabu, huko kaeni vivyo hivyo muambukizane atakayepona ndiye mshindi, wenye uwezo wa kukimbilia vijijini kama vile Chato, nendeni mkatulie huko.
Naona mnawasaka wabunge kuwakamata kisa wameikimbia bunge inayotokota kirusi...

Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo vyafikia 134 - JamiiForums

2392204_E7C911FC-6FA2-4DE0-8D96-E96B1E1AD677.jpeg
 
Hata ka Italy ni kadogo kwa China lakini kanapandisha balaa
 
This sharp increase of deaths and infection rate proves that Uhuru's lockdown is not working at all...
Katibu Mkuu, Rashid Aman ametangaza wagonjwa wapya 25 wa COVID19 ambapo 22 ni Wakenya, 1 Tanzania, 1 Uganda na 1 ni raia wa China. Kenya ina jumla ya visa 607 mpaka sasa.

Vilevile, wagonjwa wengine watatu wamefariki na idadi ya vifo imefikia 29. Aman pia amesema wagonjwa 7 wamepona na idadi ya waliopona ni 197

Serikali imetoa onyo kwa raia waliokimbia maeneo ya Eastleigh na Old Town baada ya Mamlaka kutangaza kuyafunga kuanzia jana.

========

The government has warned Kenyans who fled from Eastleigh and Old Town, after a lockdown was announced.

"We are appealing to these families. For those welcoming those members, you are placing yourself in danger. Those within these areas, please remain in there," Health CAS Rashid Aman said.

"If you are infected unknowingly, then you have spread the disease. By moving out there, there is a chance that you are a carrier. You must assume that you are a carrier."

Aman said this should remain in the conscience of people sneaking out.

On Wednesday, the government locked down Eastleigh and Old Town as coronavirus cases surge.

There will be no movement into and out of the areas effective Wednesday at 7pm for 15 days, Health CS Mutahi Kagwe said.

"You cannot leave the area to go to another area. This will take place for 15 days," he said.

But immediately he announced this, there were reports that some people sneaked to go to neighboring estates.

Kenya has recorded 25 new cases bringing total number to 607.

Aman said from this number, 22 are Kenyans, one Ugandan, one Tanzanian and one Chinese.

A total of 21 are male and four are female.

Aman said Eastleigh is leading with nine cases. Kenya has recorded seven new discharges, bringing the total to 197.

Three more patients have died, bringing the total to 29.

Source: The Star

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni ndugu zetu Wakenya, wenzenu Tanzania tumekadhibiti haka kagonjwa kwa 100%, na hivi sasa tunapeta tu kwa kwenda forward!

Sasa na nyinyi Wapwa zetu mnashindwaje kukadhibiti kagonjwa kadogo kama haka?! Mnatutia aibu mjue?! Wenzenu tunaenda wiki ya pili sasa, hakuna mgonjwa mpya wa corona... mnh! Hapo nimedanganya... wagonjwa wetu wa mwisho ni mbuzi mmoja na mafenesi matatu; BASI!!

Hebu ngoja... Ina maana huko kwenu hakuna malimao, ndimu na miti ya muarobaini mkaanza kupiga nyungu na nyinyi, au?!

Next time na nyinyi mjifunze kuchagua rais mwenye PhD! Wenzenu cku hizi tunapeta tu... tunakula matunda ya kutawaliwa na rais mwenye PhD,tena PhD ya Kemia, kudadadeki!

Haka kagonjwa kalivyoanza kusumbua tu, akatupa suti zake kule, akapiga joho akaingia lab kufanya na-mixing ya ma-chemicals... si unajua tena rais wetu ni gwiji la Kemia aka Chemistry?!

Basi bhana, wiki moja nyingi Mr. President, the Man Himself, the One and Only akaibuka na kitu matata sana chenye chemical formula NY72U3NG7U, with a common name Nyungu!

Sasa endeleeni tu kusubiri Wazungu wawaletee dawa! Wenzenu baada ya Rais wetu kugundua hiyo dawa, kilichofuata ni full kujifukisha dozi kutwa mara 3, na hivi sasa swaaaafi... hatuna mgonjwa mpya hata mmoja na wale wa mwanzoni 469 wameshapona!
 
Sasa endeleeni tu kusubiri Wazungu wawaketee dawa! Wenzenu baada ya Rais wetu kugundua hiyo dawa, kilichofuata ni full kujifukisha dozi kutwa mara 3, na hivi sasa swaaaafi... hatuna mgonjwa mpya hata mmoja na wale wa mwanzoni 469 wameshapona!
Hh dahh hongereni sana kwa kupiga hatua, kama ni hivyo.. Muanze kufungua ligi zenu zile za mipira..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni ndugu zetu Wakenya, wenzenu Tanzania tumekadhibiti haka kagonjwa kwa 100%, na hivi sasa tunapeta tu kwa kwenda forward!

Sasa na nyinyi Wapwa zetu mnashindwaje kukadhibiti kagonjwa kadogo kama haka?! Mnatutia aibu mjue?! Wenzenu tunaenda wiki ya pili sasa, hakuna mgonjwa mpya wa corona... mnh! Hapo nimedanganya... wagonjwa wetu wa mwisho ni mbuzi mmoja na mafenesi matatu; BASI!!

Hebu ngoja... Ina maana huko kwenu hakuna malimao, ndimu na miti ya muarobaini mkaanza kupiga nyungu na nyinyi, au?!

Next time na nyinyi mjifunze kuchagua rais mwenye PhD! Wenzenu cku hizi tunapeta tu... tunakula matunda ya kutawaliwa na rais mwenye PhD,tena PhD ya Kemia, kudadadeki!

Haka kagonjwa kalivyoanza kusumbua tu, akatupa suti zake kule, akapiga joho akaingia lab kufanya na-mixing ya ma-chemicals... si unajua tena rais wetu ni gwiji la Kemia aka Chemistry?!

Basi bhana, wiki moja nyingi Mr. President, the Man Himself, the One and Only akaibuka na kitu matata sana chenye chemical formula NY72U3NG7U, with a common name Nyungu!

Sasa endeleeni tu kusubiri Wazungu wawaletee dawa! Wenzenu baada ya Rais wetu kugundua hiyo dawa, kilichofuata ni full kujifukisha dozi kutwa mara 3, na hivi sasa swaaaafi... hatuna mgonjwa mpya hata mmoja na wale wa mwanzoni 469 wameshapona!

Hehehehe!! Hongereni sana na sisi uchaguzi ujao tutamtafuta karumanzila atutawale.
 
Hakuna cha kuproject, huko ni kujitetea tu, baada ya kushindwa kwa lockdown na confusion ya kuita targeted testing as mass testing.

No one botheir to as questions or to give proper explanation what is the difference between the two.

No one care to listen suggested alternative approaches such as "herd immunity"

No ome bother to question or to openly discuss how bad the test kits are because of fear of public backlash.

Sasa nikuambie ukweli, projections za jamaa wa nje ni kuwa ma'ambukizi kwa Kenya na TZ yatakuwa above 100k ktk kila nchi.

Afrika Kusini wakati wanaingia lockdown maambukizi yalikua around 700 sasa hivi baada ya siku kama 40 za lockdown maambukizi yamefikia close to 9000 na bado keep on rising. Rais wao kaamua kupubguza masharti ya lockdown baada ya kuona hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya.

Somilaly, in USA na nchi nyingine Ulaya wameanza ku relax lockdowns kwa sababu za kiuchumi hata kama infection rate and death zinaongezeka.

So what will be the verdict? enter tthe JPM's approach, "herd immunity" mtamkebehi wee!!! but at the end of the day Kenya na nchi zote zitafuata hio approach ya kuishi na Corona na baadaye watu kujenga immunity. Thare is no another way around it. Dawa zenyewe wanasema labda ni baada ya 18 months from now.

Life must go on.

We had projected 10,000 by end of April.....
By the way my condolences to you people for the so many deaths of prominent people dying so rapidly with cause of death being difficult in breathing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kuproject, huko ni kujitetea tu, baada ya kushindwa kwa lockdown na confusion ya kuita targeted testing as mass testing.

No one botheir to as questions or to give proper explanation what is the difference between the two.

No one care to listen suggested alternative approaches such as herd immunity.

No ome bother to question or to openly discuss how bad the test kits are because of fear of public backlash.

Sasa nikuambie ukweli, projections za jamaa wa nje ni kuwa ma'ambukizi kwa Kenya na TZ yatakuwa above 100k ktk kila nchi.

Afrika Kusini wakati wanaingia lockdown maambukizi yalikua around 700 sasa hivi baada ya siku kama 40 za lockdown maambukizi yamefikia close to 9000 na bado keep on rising. Rais wao kaamua kupubguza masharti ya lockdown baada ya kuona hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya.

Somilaly, in USA na nchi nyingine Ulaya wameanza ku relax lockdowns kwa sababu za kiuchumi hata kama infection rate and death zinaongezeka.

So what will be the verdict? entet6the JPM's approach, "herd immunity" mtamkevehi wee but at the end of the day Kenya na nchi zote zitafuata hio approach ya kuishi na Corona na baadaye watu kujenga immunity. Thare is no another way around it. Dawa zenyewe wanasema labda ni baada ya 18 months from now.

Life must go on.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hivi tunafanya both targeted na mass testing, hii ya mass testing tunafanya baada ya kugundua kuna watu wenye kirusi na hawana dalili zozote, anaambukiza watu wiki zinaisha mbili hajawahi kuhisi chochote hata kukohoa.
Halafu kuna nadharia mpya imeibuka inajadliwa duniani ya viral load, fanya utafiti wa Googe labda utajifunza kitu.
Nyie huko endeleeni kumalizana kwa ujinga wa kuogopa badala ya kupambana na hali kama ilivyo.
Naona nyuzi za tanzia tu kila siku.
 
Hakuna cha kuproject, huko ni kujitetea tu, baada ya kushindwa kwa lockdown na confusion ya kuita targeted testing as mass testing.

No one botheir to as questions or to give proper explanation what is the difference between the two.

No one care to listen suggested alternative approaches such as herd immunity.

No ome bother to question or to openly discuss how bad the test kits are because of fear of public backlash.

Sasa nikuambie ukweli, projections za jamaa wa nje ni kuwa ma'ambukizi kwa Kenya na TZ yatakuwa above 100k ktk kila nchi.

Afrika Kusini wakati wanaingia lockdown maambukizi yalikua around 700 sasa hivi baada ya siku kama 40 za lockdown maambukizi yamefikia close to 9000 na bado keep on rising. Rais wao kaamua kupubguza masharti ya lockdown baada ya kuona hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya.

Somilaly, in USA na nchi nyingine Ulaya wameanza ku relax lockdowns kwa sababu za kiuchumi hata kama infection rate and death zinaongezeka.

So what will be the verdict? entet6the JPM's approach, "herd immunity" mtamkevehi wee but at the end of the day Kenya na nchi zote zitafuata hio approach ya kuishi na Corona na baadaye watu kujenga immunity. Thare is no another way around it. Dawa zenyewe wanasema labda ni baada ya 18 months from now.

Life must go on.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wa humu wanatumia nguvu nyingi kutetea lockdown na curfew wakati kiuhalisia haisaidii chochote zaidi ya kuzidi kuwaumiza na unaweza kuta wakiwa mitaani kwao wanapinga hiyo lockdown na curfew.
 
Hh dahh hongereni sana kwa kupiga hatua, kama ni hivyo.. Muanze kufungua ligi zenu zile za mipira..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipute mbona kipo njiani Chifu!! Hujamsikia Genius Magu nini?!

Baada ya kutoka lab tu akatoa finding nyingine kwamba kukaa kaa tu home kunasababisha watu wapate corona kwahiyo akatoa angalizo watu kuendelea kupiga soka!!

Ninachompendea Magu bhana, jamaa ni genius! Nyie wengine endeleeni tu kukaa ndani, wenzenu soon tunakianzisha Premier League! Msimu ukifika, mashindano ya Club Bingwa Africa na Kombe la CAF hakutakuwa na washiriki except kutoka Tanzania... hapo kiulaini tunarudisha makombe yote mawili Bongo!
 
Poleni ndugu zetu Wakenya, wenzenu Tanzania tumekadhibiti haka kagonjwa kwa 100%, na hivi sasa tunapeta tu kwa kwenda forward!

Sasa na nyinyi Wapwa zetu mnashindwaje kukadhibiti kagonjwa kadogo kama haka?! Mnatutia aibu mjue?! Wenzenu tunaenda wiki ya pili sasa, hakuna mgonjwa mpya wa corona... mnh! Hapo nimedanganya... wagonjwa wetu wa mwisho ni mbuzi mmoja na mafenesi matatu; BASI!!

Hebu ngoja... Ina maana huko kwenu hakuna malimao, ndimu na miti ya muarobaini mkaanza kupiga nyungu na nyinyi, au?!

Next time na nyinyi mjifunze kuchagua rais mwenye PhD! Wenzenu cku hizi tunapeta tu... tunakula matunda ya kutawaliwa na rais mwenye PhD,tena PhD ya Kemia, kudadadeki!

Haka kagonjwa kalivyoanza kusumbua tu, akatupa suti zake kule, akapiga joho akaingia lab kufanya na-mixing ya ma-chemicals... si unajua tena rais wetu ni gwiji la Kemia aka Chemistry?!

Basi bhana, wiki moja nyingi Mr. President, the Man Himself, the One and Only akaibuka na kitu matata sana chenye chemical formula NY72U3NG7U, with a common name Nyungu!

Sasa endeleeni tu kusubiri Wazungu wawaletee dawa! Wenzenu baada ya Rais wetu kugundua hiyo dawa, kilichofuata ni full kujifukisha dozi kutwa mara 3, na hivi sasa swaaaafi... hatuna mgonjwa mpya hata mmoja na wale wa mwanzoni 469 wameshapona!
Umesahau na maombi ya kitaifa ya siku tatu yalimmalza kabisa mdudu CORONA akatoka nduki TZ.

Mzima wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko USA Mzee baba Trump Leo ameitisha siku ya mambo, vino vinakaribia 80,000, haya mambo yanahitaji tafakari sana, sio kukurukakara za kuiga approach ambazo sio feasible kwenye chi huska.

Back
Top Bottom