Virus Scanner/Removal For nokia 2730

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Wakuu simu yangu Nokia 2730, imekuwa slow ghafla, pia haipokei wala kutuma sms, inajibu message memory not ready kwa zaidi ya siku 3 sasa, nimejarib kuiformat (hard reset) but kwenye memory status bado inaandika 1.1 Mb kwenye message memory. Na hiyo ndo nadhan chanzo cha tatizo coz inatumia mjua mwing kuproces hzo sms bila mafanikio na kuifanya kuwa slow, pliz anayejua jinsi ya kuiformat hiyo mesage memory coz nahis ndo imebeba virus, msaada wakuu

cc: chief-mkwawa MziziMkavu e2themiza NingaR
 
Last edited by a moderator:
kwanza elewa kua huyo sio viruse, simu hua hazifuti mesages bali hua kuna sehemu zinatunzwa hata kama uki delete haifutiki hii nilisha iprove mwenyewe nilippo kua na nokia N70 miaka ile.
:focus:
Message memory not ready hii hua inatokea unapo washa simu?? kama ni ndiyo subiri muda kidogo simu ikiwaka kisha nenda ka delete messages za kutosha ku free memory ukishindwa rudisha feedback
 

thanx mkuu.. Bt nimesubir masaa 3 sasa, na kila nikijaribu kuselect delete all mesages bado inajib vilevile mesage memory not ready na haipokei wala kutuma sms. Then ipo very slow (uc browser inafunguka kwa zaid ya dakika 20 mpaka 25) help mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…