Akili imeganda mkuuuu nawasubiri waje watoe walau mwanga natokaje katika huu msala,ukiskia kuchanganyikiwa ni Leo mkuu,sipo sawa kbsa.Pole sana mkuu, hao uliowataja wote nondo ni swala la muda tu
Tukiwa tunawasubiri, agiza juice ya miwa hapo
Terabyte zote hizo ku encrypt si mchezo. My guess hakuna Encryption ya maana hapo ni kamchezo tu inafanya.Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4 anaibadilisha to
Name.mp4.moia
Kasha encrypt 80% ya files zangu, nafanya biashara ya Movies so mnaweza pata picha files za 8TB ziko encrypted.
Hiyo ni external A external B yenye size 6TB napo nakutana na moia kila movie ninayoiendea...
Ki ufupi nina allmost 40TB zilizokua encrypted sijui nafanyaje ili kuzi decrypt hizi file?
nmejaribu ingia online nimejaribu software tofaut tofaut hasa hii ya decrypt_STOPDjvu ila wapi ina scan mwisho inaniambia
This file has online ID it is impossible to decrypt it..
Akili ime stuck halafu siku za majanga kama haya wateja ndio wanakuja kama mvua, nisaidieni mwenye solution ndugu zangu mniokoe na hili jahazi.
Atakae niokoa na huu msala sitomuacha hivi hivi nitamshukuru kwa kidogo kitakachokuwepo Nisaidieni ndugu zangu sielewi hapa, Ofisi naiona chungu leo.
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
CONTROLA
IT Net Solution
ICT_student_TZ
Na wengine wote naomba msaada wenu wakuu.
Nmebaki nimeduwaa pia ku encrypt 40TB sio kitoto, kadai amejaribu ku rename but imekataa, me najiuliza kwani aliem-encryptia hizo files mpaka dakika hii hajajitokeza tu kumtaarifu kama anataka kulipwa au nini anataka kwa jamaa? Au atakua kirusi tu wa kawaida kaundwa kuharibu files za mtu pasipo faida.Terabyte zote hizo ku encrypt si mchezo. My guess hakuna Encryption ya maana hapo ni kamchezo tu inafanya.
Umejaribu ku rename mafile na kutoa hio extension?
Mfano video.mp4.moia rename kuja video.mp4
Nmejaribu ku search YouTube nimeona ni kama ransomware mpya hivi make videos nyingi zinazomuelezea zime uploadiwa siku 6-7 ago, check videos nyingi kadri ya uwezo wako na imani utapata muongozo sahihi na utaokoa files zako mkuu..Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4 anaibadilisha to
Name.mp4.moia
Kasha encrypt 80% ya files zangu, nafanya biashara ya Movies so mnaweza pata picha files za 8TB ziko encrypted.
Hiyo ni external A external B yenye size 6TB napo nakutana na moia kila movie ninayoiendea...
Ki ufupi nina allmost 40TB zilizokua encrypted sijui nafanyaje ili kuzi decrypt hizi file?
nmejaribu ingia online nimejaribu software tofaut tofaut hasa hii ya decrypt_STOPDjvu ila wapi ina scan mwisho inaniambia
This file has online ID it is impossible to decrypt it..
Akili ime stuck halafu siku za majanga kama haya wateja ndio wanakuja kama mvua, nisaidieni mwenye solution ndugu zangu mniokoe na hili jahazi.
Atakae niokoa na huu msala sitomuacha hivi hivi nitamshukuru kwa kidogo kitakachokuwepo Nisaidieni ndugu zangu sielewi hapa, Ofisi naiona chungu leo.
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
CONTROLA
IT Net Solution
ICT_student_TZ
Na wengine wote naomba msaada wenu wakuu.
Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4 anaibadilisha to
Name.mp4.moia
Kasha encrypt 80% ya files zangu, nafanya biashara ya Movies so mnaweza pata picha files za 8TB ziko encrypted.
Hiyo ni external A external B yenye size 6TB napo nakutana na moia kila movie ninayoiendea...
Ki ufupi nina allmost 40TB zilizokua encrypted sijui nafanyaje ili kuzi decrypt hizi file?
nmejaribu ingia online nimejaribu software tofaut tofaut hasa hii ya decrypt_STOPDjvu ila wapi ina scan mwisho inaniambia
This file has online ID it is impossible to decrypt it..
Akili ime stuck halafu siku za majanga kama haya wateja ndio wanakuja kama mvua, nisaidieni mwenye solution ndugu zangu mniokoe na hili jahazi.
Atakae niokoa na huu msala sitomuacha hivi hivi nitamshukuru kwa kidogo kitakachokuwepo Nisaidieni ndugu zangu sielewi hapa, Ofisi naiona chungu leo.
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
CONTROLA
IT Net Solution
ICT_student_TZ
Na wengine wote naomba msaada wenu wakuu.
Same thing hii just ni moja kati ya variants nyingi za DJVU ransomware, wakati encryption inafanyika ulikua offline au online?Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4 anaibadilisha to
Name.mp4.moia
Kasha encrypt 80% ya files zangu, nafanya biashara ya Movies so mnaweza pata picha files za 8TB ziko encrypted.
Hiyo ni external A external B yenye size 6TB napo nakutana na moia kila movie ninayoiendea...
Ki ufupi nina allmost 40TB zilizokua encrypted sijui nafanyaje ili kuzi decrypt hizi file?
nmejaribu ingia online nimejaribu software tofaut tofaut hasa hii ya decrypt_STOPDjvu ila wapi ina scan mwisho inaniambia
This file has online ID it is impossible to decrypt it..
Akili ime stuck halafu siku za majanga kama haya wateja ndio wanakuja kama mvua, nisaidieni mwenye solution ndugu zangu mniokoe na hili jahazi.
Atakae niokoa na huu msala sitomuacha hivi hivi nitamshukuru kwa kidogo kitakachokuwepo Nisaidieni ndugu zangu sielewi hapa, Ofisi naiona chungu leo.
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
CONTROLA
IT Net Solution
ICT_student_TZ
Na wengine wote naomba msaada wenu wakuu.
Mkuu pole sana kwa majanga uliyopata.Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.