Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Feb 12, 2011 #1 je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo. Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu kwamba cdm angechaguliwa ktk kamati.
je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo. Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu kwamba cdm angechaguliwa ktk kamati.
N Nancy Tweed Senior Member Joined Nov 22, 2010 Posts 123 Reaction score 3 Feb 12, 2011 #2 kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena?
T Topical JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 5,173 Reaction score 938 Feb 12, 2011 #3 Kama chama kimefuata wenstminster system..mwenyekitianakuwa kiongozi mkuu na makamu mwenyekiti ana kuwa naibu wake??? Naamini zitto anatakiwa ampishe mze arfi..heshima tu mkuu
Kama chama kimefuata wenstminster system..mwenyekitianakuwa kiongozi mkuu na makamu mwenyekiti ana kuwa naibu wake??? Naamini zitto anatakiwa ampishe mze arfi..heshima tu mkuu
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,300 Feb 12, 2011 #4 Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... Acha kukurupuka binti!
Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... Acha kukurupuka binti!
F fnacc Member Joined Dec 9, 2010 Posts 27 Reaction score 3 Feb 12, 2011 #5 Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... Wacha habari zako za udini!ongea vitu vya maana!!!
Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... Wacha habari zako za udini!ongea vitu vya maana!!!
K Kwiifoenda Member Joined Jan 3, 2011 Posts 39 Reaction score 0 Feb 12, 2011 #6 udini ni lugha ya watu waliofilisika kifikra! Huyu binti anatakiwa asaidiwe kufikiri vema!
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Feb 12, 2011 #7 Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... :laugh::laugh::laugh::laugh: we kiboko,unawaza nini? you made my day!!
Nancy Tweed said: kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena? Click to expand... :laugh::laugh::laugh::laugh: we kiboko,unawaza nini? you made my day!!
MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Feb 12, 2011 #8 Michelle said: :laugh::laugh::laugh::laugh: we kiboko,unawaza nini? you made my day!! Click to expand... How Michelle!!??
Michelle said: :laugh::laugh::laugh::laugh: we kiboko,unawaza nini? you made my day!! Click to expand... How Michelle!!??