Vipi kuhusu updates za E-Government?

fihavango

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Habari wanajamii? Naombeni taarifa zozote zinazo husiana na E-Government, maana walitoa post za kazi lakini mpaka sasa hivi hakuna updates zozote, je kunamtu anatarifa kuhusu hawa watu?
 
wanakaribia kutoa short list yao maana zoezi la upokeaji maombi limekamilika
 
Kumbe tupo wengi tunaosubil kwa hamu, ila huo mchakato uko chini ya tume ya ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…