vipi kuhusu MICROSOFT SECURITY ESSENTIALS?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
715
JAMANI, salaam!
nimeshauriwa kuinstall microsoft security essentials kwa ajili ya protection against sparms, virus etc.hii ni baada ya kaspersky kuisha muda wake. je imekaa vema hii kitu?? nime download kwenye internet.
 
i love google
hebu chungulia hapa http://www.notebookreview.com/default.asp?newsID=6211
 
iko poa,update yake vilevile inachukua muda mfuki sio kama kaspersky
 
imekaa poa kaka jaribu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…