Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,990 Feb 23, 2021 #81 rodrick alexander said: Kwa Onyango ndio utaelewa kwanini Simba hawakuhangaika na Mwamnyeto Click to expand... Utopolo walijua wamelamba dume kwa mwamnyeto
rodrick alexander said: Kwa Onyango ndio utaelewa kwanini Simba hawakuhangaika na Mwamnyeto Click to expand... Utopolo walijua wamelamba dume kwa mwamnyeto
D de gam Member Joined Aug 15, 2016 Posts 69 Reaction score 124 Feb 24, 2021 #82 rodrick alexander said: Mababu waliwapiga nne au mnajifanya mmesahau Click to expand... Mkuu acha kupoteza nguvu zako kwa kubishana na mitakataka ya utopolo ambayo mpo class tofauti.....
rodrick alexander said: Mababu waliwapiga nne au mnajifanya mmesahau Click to expand... Mkuu acha kupoteza nguvu zako kwa kubishana na mitakataka ya utopolo ambayo mpo class tofauti.....
D de gam Member Joined Aug 15, 2016 Posts 69 Reaction score 124 Feb 24, 2021 #83 kidunula1 said: Sasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa! Click to expand... Gongowazi unaona umeongea point mwenyewe....bila kujua mwanaume anakupigania na wew ushiriki club bingwa au hata shirikisho mwakani
kidunula1 said: Sasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa! Click to expand... Gongowazi unaona umeongea point mwenyewe....bila kujua mwanaume anakupigania na wew ushiriki club bingwa au hata shirikisho mwakani
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,136 Reaction score 13,401 Feb 24, 2021 #84 Berlin Joash Onyango.
Mtu fulani JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 678 Reaction score 1,022 Feb 24, 2021 #85 Liver wamchukue kwa mkopo akamalize msimu
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,300 Reaction score 24,207 Feb 24, 2021 #86 Mtu fulani said: Liver wamchukue kwa mkopo akamalize msimu Click to expand... Hapana sisi tuna kazi naye ambayo hajaimaliza
Mtu fulani said: Liver wamchukue kwa mkopo akamalize msimu Click to expand... Hapana sisi tuna kazi naye ambayo hajaimaliza