Huwa natumia dcpromo command kutengeneza domain in a new forest, lakini nikijaribu option za kutengeneza child domain au domain tree, napata error message inayosema "active directory domain controller for the domain could not be contacted" wakati tayari nimesha icreate hiyo active directory in the first place.
Haya wale wajuzi wa mcsa nipeni ufumbuzi wa hili tatizo