Vipi DSTv Clouds TV haipatikani?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu, nimetoka sehemu pana king'amuzi cha Azam TV na kukuta fainali ya mashindano ya Ndondo. Cha ajabu natafuta Clouds kwenye DSTv naambulia giza tu.
Kulikoni?
 
King'amuzi cha watu unaanza kukagua Channel kisa nini?

Mara Azam Decoder Mara DSTV mbona hueleweki.
 
King'amuzi cha watu unaanza kukagua Channel kisa nini?

Mara Azam Decoder Mara DSTV mbona hueleweki.
Naomba unielewe mkuu, mie nina DSTv, hata hivo inerejea hewani kwenye dakika ya 85.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…