Wakuu kuna vile vipeperushi ambavyo ni vya bei nafuu sana nadhani mfano vile ambavyo huwa wanagawa kwenye vituo vya magari kuhusu nguvu za kiume au shule fulani.Naomba kuuliza huwa vinatengenezwa wapi hapa Dar na gharama zake zikoje? Mwenye ujuzi tafadhali