A-town JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 494 Reaction score 169 Dec 7, 2011 #1 Hivi ni kwanini viongozi wengi wa Afrika hawataki kujifunza kusoma majira ya nyakati? Hivi wanataka kusema wanaweza kupambana na nguvu ya umma kuliko Gaddafi na Mubarak wajifunze kuwa kuna kesho na ikifika hakuna mjanja
Hivi ni kwanini viongozi wengi wa Afrika hawataki kujifunza kusoma majira ya nyakati? Hivi wanataka kusema wanaweza kupambana na nguvu ya umma kuliko Gaddafi na Mubarak wajifunze kuwa kuna kesho na ikifika hakuna mjanja