mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
mkuu hata mimi nimechoka
Wee wacha wivu wa kike kwa mwanamme mwenzio hizo single zilishachuja zamani enzi za twist na laizoni,siku hizi tunaenda kidijitali zaidi.Huyu Katibu Mkuu wa CHADEMA huwa ni mwepesi sana kula kiapo na pia ni mwepesi sana kuasi kiapo!
Kondoo aliokabidhiwa na Mungu kuwalinda baada ya kula kiapo, aliamua kuwatelekeza baada ya muda, akaamua tena kula kiapo cha ndoa ambacho nacho haikupita muda akaamua tena kukiasi.
What's next for Dr. Slaa?
Bakwata -kikristo duh hii ni mpya kweli ukiwa na tamaa ya fedha kiongozi wa dini unaweza hatakijiita jambazi
Kundi la BAKWATA-KIKRISTO sina mbavu!
Hawajui walisemalo hawa wanaojiita viongozi wa dini ndani ya Bunge. wanahitaji kuombewa watakuwa na mapepo tu si bureHawa jamaa vipi? Eti kanuni hazijawahi kuvunjwa! Wamesahau/wamejisahaulisha kanuni zinasemaje kuhusu nani alipaswa kulihutubia Bungee kwanza.Kati ya M/kiti wa tume ya katiba na Rais, na nini kilitokea?
Dhaifu bibi yako
Viongozi vipofu, wachungaji vipofu, wanafiki waroho... Huyo babu yenu sitta anaangamia na nyie. Askofu mnarubuniwa na hicho kiposho... U make wanna pukee...
Kachukue fasta book saba maana mko wengi siku hizi na Lumumba wako too selective sana wahi sana ndugu yangu.Huyu Katibu Mkuu wa CHADEMA huwa ni mwepesi sana kula kiapo na pia ni mwepesi sana kuasi kiapo!
Kondoo aliokabidhiwa na Mungu kuwalinda baada ya kula kiapo, aliamua kuwatelekeza baada ya muda, akaamua tena kula kiapo cha ndoa ambacho nacho haikupita muda akaamua tena kukiasi.
What's next for Dr. Slaa?
jibu hoja wacha kuruka ruka mkuu!Dhaifu bibi yako