Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,320
- 10,184
Mimi si Yanga wala sihadaiki na matokeo.......Nina uhakika leo kama si kile kichaka cha matokeo ya penati walichojificha viongozi wa Simba hali ingekua mbaya sana.
Leo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Yanga watazidi kuimarika na sina shaka vikombe vinakuja.
Hakuna mwana simba yoyote aliyekua na Amani mpaka matuta yalipo jibu.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nahisi hata Boko alipangwa na viongozi.Viongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba ilikuwa inacheza last season atakubaliana na Mimi. Simba ile iliyocheza dhidi ya Waydad AC away huwezi kuniambia ilikuwa inafundishwa na kocha Mzembe, ntakukatalia.
KWANINI SIMBA INAFANYA VIBAYA SAIV?
1. SIMBA HAIKUWA NA PRE SEASON.
Viongozi mnapenda kuzungumzwa na vyombo vya habari. We had a "Fancy" pre season, ila isiyokamilifu. Pre season ya "mafungu mafungu" Team imeenda pre season na wachezaji wachache, wengi kati ya hao wachache sio "regulars".
Chama, Baleke, Malone, Ngoma, Miq, Onana, Kramo na wengine nilio wasahau.
Hawajaanza pre season na wenzao.
Matokeo yake yanaonekana uwanjani saiv.
2. Mnampangia kikosi kocha.
( Miq kuanza leo, inaelezea hili ).
3.Mmesajili wachezaji wa mashabiki sio wachezaji wa kocha.
Tuombee Mungu team ichanganye Mapema, Vinginevyo itatuwia Ugumu.
Mpira huwa haukatai, ila unashindikana. Yanga wameshindwa kushinda, Simba wameshinda. Timu bora imechukua Ngao ya Hisani, nyingine ni kelele tu za vyuraLeo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Mzee, changia kambi na usajili ili wachezaji wafike kambini mapema. Usajili ni jambo la muhimu zaidi kuliko kambi. Ukikosea kufanya usajili kwa ajili ya kuwaridhisha wajinga wachache kwa kuwawahisha wachezaji kambini, utajikuta umesajili haraka haraka na una magarasa yaliyosaini miaka miwili, kuvunja mkataba inakuwa shughuli, wakati kambi unaweza ukachelewa lakini Haina deadline, wachezaji wataendelea kuelewana hata kama mwanzo watakuwa hawaelewani vizuriViongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba ilikuwa inacheza last season atakubaliana na Mimi. Simba ile iliyocheza dhidi ya Waydad AC away huwezi kuniambia ilikuwa inafundishwa na kocha Mzembe, ntakukatalia.
KWANINI SIMBA INAFANYA VIBAYA SAIV?
1. SIMBA HAIKUWA NA PRE SEASON.
Viongozi mnapenda kuzungumzwa na vyombo vya habari. We had a "Fancy" pre season, ila isiyokamilifu. Pre season ya "mafungu mafungu" Team imeenda pre season na wachezaji wachache, wengi kati ya hao wachache sio "regulars".
Chama, Baleke, Malone, Ngoma, Miq, Onana, Kramo na wengine nilio wasahau.
Hawajaanza pre season na wenzao.
Matokeo yake yanaonekana uwanjani saiv.
2. Mnampangia kikosi kocha.
( Miq kuanza leo, inaelezea hili ).
3.Mmesajili wachezaji wa mashabiki sio wachezaji wa kocha.
Tuombee Mungu team ichanganye Mapema, Vinginevyo itatuwia Ugumu.
wAlishtukizwa kuwa wanatakiwa kusajili?Mzee, changia kambi na usajili ili wachezaji wafike kambini mapema. Usajili ni jambo la muhimu zaidi kuliko kambi. Ukikosea kufanya usajili kwa ajili ya kuwaridhisha wajinga wachache kwa kuwawahisha wachezaji kambini, utajikuta umesajili haraka haraka na una magarasa yaliyosaini miaka miwili, kuvunja mkataba inakuwa shughuli, wakati kambi unaweza ukachelewa lakini Haina deadline, wachezaji wataendelea kuelewana hata kama mwanzo watakuwa hawaelewani vizuri
Muulize huyo bwege Azam waliwahi pre Season mapema sana asubuhi na wachezaji wote vipi nao viongozi wao wanampangia Mwalimu? mbona juzi walicheza kama timu la darasa la nne c. Aache ujinga aheshimu taaluma za watu.Mzee, changia kambi na usajili ili wachezaji wafike kambini mapema. Usajili ni jambo la muhimu zaidi kuliko kambi. Ukikosea kufanya usajili kwa ajili ya kuwaridhisha wajinga wachache kwa kuwawahisha wachezaji kambini, utajikuta umesajili haraka haraka na una magarasa yaliyosaini miaka miwili, kuvunja mkataba inakuwa shughuli, wakati kambi unaweza ukachelewa lakini Haina deadline, wachezaji wataendelea kuelewana hata kama mwanzo watakuwa hawaelewani vizuri
Kwanini usiseme Mwenyewe unatuma watu?Muulize huyo bwege Azam waliwahi pre Season mapema sana asubuhi na wachezaji wote vipi nao viongozi wao wanampangia Mwalimu? mbona juzi walicheza kama timu la darasa la nne c. Aache ujinga aheshimu taaluma za watu.
No way Leo Kocha alikuwa anaanza na Miq.....Hana fitness kabisa.nahisi hata Boko alipangwa na viongozi.
Timu bora ni ile inayopata matokeo hata ikicheza vibaya..Nina uhakika leo kama si kile kichaka cha matokeo ya penati walichojificha viongozi wa Simba hali ingekua mbaya sana.
Leo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Yanga watazidi kuimarika na sina shaka vikombe vinakuja.
Hakuna mwana simba yoyote aliyekua na Amani mpaka matuta yalipo jibu.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Taarabu tupu. Mngeshinda ndani ya dak 90 kama kwa azamNina uhakika leo kama si kile kichaka cha matokeo ya penati walichojificha viongozi wa Simba hali ingekua mbaya sana.
Leo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Yanga watazidi kuimarika na sina shaka vikombe vinakuja.
Hakuna mwana simba yoyote aliyekua na Amani mpaka matuta yalipo jibu.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivi unapomtaka mchezaji fulani, unadhani uko peke yako? Unadhani hakuna timu iliyokuwa inamhitaji Che Malone, Luis, Onana, Ngoma na Kramo, ila Simba tu? Acheni ujinga, lawama tu bila kujali juhudi zilizofanyikawAlishtukizwa kuwa wanatakiwa kusajili?
Lkn bahati mbaya haikuamuliwa ndani ya dk90.Timu bora ni ile inayopata matokeo hata ikicheza vibaya..
Kama umefuatilia derby zote kwa miaka hii mitano utagundua Simba imekuwa vizuri kuliko hata hasimu wake lakini matokeo mengi hayakuwa upande wao.
Kucheza vizuri hakutoshi kukufanya ushinde.
Nani anastahili na nani hastahili huamuliwa na dakika 90 uwanjani.
Timu ya simba haiwezi kabisa kucheza mpira na kufika golini kwa mpinzani.Viongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba ilikuwa inacheza last season atakubaliana na Mimi. Simba ile iliyocheza dhidi ya Waydad AC away huwezi kuniambia ilikuwa inafundishwa na kocha Mzembe, ntakukatalia.
KWANINI SIMBA INAFANYA VIBAYA SAIV?
1. SIMBA HAIKUWA NA PRE SEASON.
Viongozi mnapenda kuzungumzwa na vyombo vya habari. We had a "Fancy" pre season, ila isiyokamilifu. Pre season ya "mafungu mafungu" Team imeenda pre season na wachezaji wachache, wengi kati ya hao wachache sio "regulars".
Chama, Baleke, Malone, Ngoma, Miq, Onana, Kramo na wengine nilio wasahau.
Hawajaanza pre season na wenzao.
Matokeo yake yanaonekana uwanjani saiv.
2. Mnampangia kikosi kocha.
( Miq kuanza leo, inaelezea hili ).
3.Mmesajili wachezaji wa mashabiki sio wachezaji wa kocha.
Tuombee Mungu team ichanganye Mapema, Vinginevyo itatuwia Ugumu.
Mtu mzembe lazima alaumiwe.Hivi unapomtaka mchezaji fulani, unadhani uko peke yako? Unadhani hakuna timu iliyokuwa inamhitaji Che Malone, Luis, Onana, Ngoma na Kramo, ila Simba tu? Acheni ujinga, lawama tu bila kujali juhudi zilizofanyika
Hoja yako iko wapi?Lawama za kijinga hizi. Unachangia nini kwenye timu wewe zaidi ya kelele.
Ndio inajitafuta......Timu ya simba haiwezi kabisa kucheza mpira na kufika golini kwa mpinzani.
Hata mpira kumiliki imekuwa ngumu.Wasipojipanga ndo basi.