Ving'amuzi vya itv

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Ndugu wana jf habari za week end. Kulikuwa na habari itv walikuwa ktk mchakato wa kuja na digitali. Wamefikia wapi. Mwenye info.atujuze.
 
Nami nawasubiri kwa hamu kubwa. Tena waliungana na Star TV wakachukuwa leseni moja lakini wamekaa kimya!
 
mzigo umezama baharini wanahangaika kupata mzigo mwingine!
kuwa subra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…