Devil's Driver Member Joined Aug 14, 2013 Posts 64 Reaction score 20 Mar 19, 2014 #1 Habari zenu wana JF. Nauliza,vp Azam tv kwa Mwanza inapatikana?
House of Commons JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 2,189 Reaction score 2,206 Mar 19, 2014 #2 ukijibiwa nami nitapata jib...i need it, labda nieleze merits zake ukitofautisha na wengine
Devil's Driver Member Joined Aug 14, 2013 Posts 64 Reaction score 20 Mar 20, 2014 Thread starter #3 Waliovitumia hasa toka Dar wanadai picha zake hazikatikikatiki km vingine
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 20, 2014 #4 umekosea jukwaa ndugu yangu hili tangazao lako lipeleke kule matangazo madogomadogo huku ni mapishi tu kwa kwenda mbele sorry kwa hilo Devil's Driver said: Habari zenu wana JF. Nauliza,vp Azam tv kwa Mwanza inapatikana? Click to expand...
umekosea jukwaa ndugu yangu hili tangazao lako lipeleke kule matangazo madogomadogo huku ni mapishi tu kwa kwenda mbele sorry kwa hilo Devil's Driver said: Habari zenu wana JF. Nauliza,vp Azam tv kwa Mwanza inapatikana? Click to expand...
S Sambuka JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 317 Reaction score 33 Mar 20, 2014 #5 Devil's Driver said: Habari zenu wana JF. Nauliza,vp Azam tv kwa Mwanza inapatikana? Click to expand... njoo hapa Nyerer RD katikat ya QSS na KukuPOA utakagua chanel na kununua hapaHapa
Devil's Driver said: Habari zenu wana JF. Nauliza,vp Azam tv kwa Mwanza inapatikana? Click to expand... njoo hapa Nyerer RD katikat ya QSS na KukuPOA utakagua chanel na kununua hapaHapa
SOSDANNY JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 453 Reaction score 444 Mar 20, 2014 #6 Jamaa yangu AZAMTV inatumia setellite dish sasa basi inapatatikana TANZANIA NZIMA na AFRICA NZIMA na ULAYA. Azam ni DVB-S na siyo DVB-T, Nunua uendelee kula raha.
Jamaa yangu AZAMTV inatumia setellite dish sasa basi inapatatikana TANZANIA NZIMA na AFRICA NZIMA na ULAYA. Azam ni DVB-S na siyo DVB-T, Nunua uendelee kula raha.