Vinauzwa viwanja Kigamboni Kisiwani

Vinauzwa viwanja Kigamboni Kisiwani

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Vinauzwa viwanja vilivyo katika eneo moja vyenye ukubwa tofauti kwa bei rahisi sana kama ifuatavyo
(1).Mita 48 Kwa Mita 31 urefu na upana wa mita 27 kinauzwa kwa Milioni 25 tu.
(2).Mita 31 urefu kwa mita 27 upana bei ni milioni 20
(3).Mita 53 urefu kwa mita 27 upana bei ni milioni 35. Hivi viko viwili

viwanja viko sehemu yenye upepo mwanana na kivuli cha kutosha. Pia katika viwanja kuna miti ya matunda kama miembe,mikorosho na minazi.
Kwa mawasiliano ama maswali nitafute kwa namba 0763969066 ama 0656497469
karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom