Vikings ni moja kati ya series nazozikubali sana.
Season 5 imeanza kurushwa hivi karibuni.
Floki na Ivar the boneless ndio characters wanaonivutia kwa sasa baada ya kufariki Ragnar Lothbrok.
Wale wapenzi wa series,itafuteni hii,hamtojuta kupoteza muda wenu.
Ivar the Boneless