Hali inatisha sanaJana ilikua siku ya ukimwi duniani utafuti ulio fanywa umeonyesha kwamba kila siku vijana wapatao 70 kuambukizwa na virusi vya ukimwi kila siku.
Wazazi wana shauriwa kukaa na watoto wao na kuwaeleza ukweli kuhusu hatari ya kujiamiana wakiwa bado umri haujatimia.
Umasikini kuporomoka kwa maadili na kuvunjika kwa ndoa ndo vyanzo vikuu vya vijana wadogo kupata virusi vinavya sababishwa ukimwi.View attachment 2831012
Siku hizi vitoto vya shule ni hateri kuliko watu wazima kwasbb serikali nyingi zimepunguza kampaini ya kuzuia ukimwi kwahiyo watoto wengi hajui hatari ya ukimwi, wa naona kawaida tu.Jana ilikua siku ya ukimwi duniani utafuti ulio fanywa umeonyesha kwamba kila siku vijana wapatao 70 kuambukizwa na virusi vya ukimwi kila siku.
Wazazi wana shauriwa kukaa na watoto wao na kuwaeleza ukweli kuhusu hatari ya kujiamiana wakiwa bado umri haujatimia.
Umasikini kuporomoka kwa maadili na kuvunjika kwa ndoa ndo vyanzo vikuu vya vijana wadogo kupata virusi vinavya sababishwa ukimwi.View attachment 2831012
Utapyngua sio kuisha waathirika wengi hataki kupima na kuanza dawa mapema ili kudhoifisha virusiMbona wanasema baada ya miaka 7 ukimwi watakuwa wameumaliza.