Vijana tunakwama wapi...

Joined
Oct 18, 2018
Posts
9
Reaction score
7
Nimegundua siku hizi vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba, nini ipo tabu.?? Tunakwama wapi kwani.??


?
 
Ungesema tunashindwa kumiliki biashara hai inayokua ningekuekewa! Nyumba wengine siyo kipaumbele.
 
Kama huweki Akiba kwa kile unachopata labda mjenge ndotoni.

Hakuna raha kama kulewa Jamaica uku upo kwako.

Au kupata matatizo lakini upo kwako na Muda mwingine hata kuachia ushuzii mzito ukiwa kwako ni burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…