Vijana tuache kubweteka

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
Naamini mpaka sasa kuna hasa wanachuo ambao wamekaa tu home wakisubiri siku vyuma viachie au uchaguzi ukaribie wapate ajira future iendelee

Naomba nikumbushe kitu kuhusu maendeleo...maendeleo hayana mwisho kama kuna anayedhani kuwa akimaliza flyover ndo ztafuata ajira basi sahau....maana miradi mingne itazd kuzinduliwa kila baada ya mmoja kumalizika

Kama muonavyo....flyover tyr...tren ya umeme inakuja....uwanja wa ndege wajengwa na pia kuna mkataba wa hivi karbuni..(sio unafiki ila anafanya jambo zuri mno)

Na pia Ndugu Raisi tuliyenae haangalii mtazamo wa mtu....nna uhakika ht km tukikaribia uchaguzi vyuma vtabaki hivi hivi na tutamchagua aendelee kuongoza

Ushauri wangu...kama kuna msomi aliyekaa tu hom akisubiri kuitwa interview au vyuma vilegee FUTA wazo hilo haraka kabla hujachelewa

Nyanyuka.....jichanganye na watu kitaa kutambua fursa na nafasi za kazi mbalimbali...tumia elimu ulopata kubuni vitu vipya eneo ulilopo...tumia pia akili na elimu hiyo hyo kusimamia wazo na project yako ikuinue...!!Futa ndoto za shuleni na utafute hela

Ila kkubwa zaidi tupunguze suala la mapenzi...tuweke akili zaidi kwenye kutafuta hela...na kama wataka mwanamke angalia yule wa kkupeleka mbele na c kukurudisha nyuma

Neno langu Si Sheria...ila ni vema kukumbushana
 
kubweteka raha!
japo ni ya muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…