Na maanisha kwamba huu ni wakati ambao vijana tunapaswa kujitambua kwa kuchukua nafasi mbalimbali za uongozi pia tusisubiri ajira tujiajir kupitia ujasiliamali na ujuz tuliopata toka chuoni tusitumiwe na wanasiasa tuangalie kiongoz bora na tusiangalie chama