N Ngosha Mashuka Jr. Member Joined Sep 18, 2015 Posts 6 Reaction score 1 Oct 23, 2015 #1 Kazi yoyote iliyo halali na isiyokiuka misingi ya haki za binadamu. Ni vijana wa kiume. NiPM au tuwasiliane kwa namba 0759708720. Wapo Shinyanga
Kazi yoyote iliyo halali na isiyokiuka misingi ya haki za binadamu. Ni vijana wa kiume. NiPM au tuwasiliane kwa namba 0759708720. Wapo Shinyanga
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,838 Oct 23, 2015 #2 Wana elimu gani? tabia zao? wanataka kazi za ofisini au hata za shambani? mshahara minimum ni kiasi gani wanahitaji
Wana elimu gani? tabia zao? wanataka kazi za ofisini au hata za shambani? mshahara minimum ni kiasi gani wanahitaji
N Ngosha Mashuka Jr. Member Joined Sep 18, 2015 Posts 6 Reaction score 1 Oct 24, 2015 Thread starter #3 Elimu darasa la saba wako tayari hata mashambani mshahara maelewano yenu
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Oct 27, 2015 #4 Nahitaji vijana wawili kwa ajili ya kulima shamba, Je wanaweza?