Vigogo wahaha kumwokoa Masha

Thread kama hizi huwa zinawavua nguo wanafiki wa chagadema Haki ya Mungu!!
 
Chagadema Mnaumbuka kwa unafiki wenu
 
Huwa sijui wanajisikia vipi maana kiwango hiki cha unafiki hakijawahi kutokea tokea kuubwa kwa dunia na mwanadamu katika ardhi hii ...Chadomo kwa unafiki hawana spare.
 
Kwani mtu habadirki? Lumumbas mbona mnatia aibu Sana. Hamjawahi ona jambazi kaokoka?
 
Leo huyu jamaa ni hero kwa chadema, hata kwa mleta mada BAK is on his knees licking Masha's toes!
 
Acha uzushi wewe mie si wa kukurupuka usiandike kitu ambacho hakipo.

Leo huyu jamaa ni hero kwa chadema, hata kwa mleta mada BAK is on his knees licking Masha's toes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…