N Naca Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 26, 2015 #1 Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
N Naca Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 26, 2015 Thread starter #2 Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya kata mikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya kata mikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Sep 26, 2015 #3 Wasiliana na Evelyn Salt, hakosi cha kukuelezea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,554 Reaction score 105,340 Sep 26, 2015 #4 Aiseeee......!!
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,554 Reaction score 105,340 Sep 26, 2015 #5 Naca said: Habari,napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.. Click to expand... Sometimes people dont realize what they are made of until someone shows them how amazing they really are.
Naca said: Habari,napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.. Click to expand... Sometimes people dont realize what they are made of until someone shows them how amazing they really are.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Sep 27, 2015 #6 Raimundo said: Wasiliana na Evelyn Salt, hakosi cha kukuelezea Click to expand... Teh afu wewe....
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Sep 27, 2015 #7 Evelyn Salt said: Teh afu wewe.... Click to expand... Mi nilijua vigimbi ni vya miguu tu, kuna hadi vya mikono? cc Naca Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Evelyn Salt said: Teh afu wewe.... Click to expand... Mi nilijua vigimbi ni vya miguu tu, kuna hadi vya mikono? cc Naca
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 27, 2015 #8 Punguza mazoezi makali, vyako ni kama vya Serena???
N Naca Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 27, 2015 Thread starter #9 Jimena said: Punguza mazoezi makali, vyako ni kama vya Serena??? Click to expand... Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi.
Jimena said: Punguza mazoezi makali, vyako ni kama vya Serena??? Click to expand... Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 27, 2015 #10 Naca said: Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi. Click to expand... Basi jikubali tu, mana hamna ujanja! Uwe unajiremba sana na kuvaa nguo zinazokufanya utoke sexy ili watu wasikumbuke kuangalia vigimbi
Naca said: Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi. Click to expand... Basi jikubali tu, mana hamna ujanja! Uwe unajiremba sana na kuvaa nguo zinazokufanya utoke sexy ili watu wasikumbuke kuangalia vigimbi
N Naca Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 27, 2015 Thread starter #11 Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me.
Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 Sep 29, 2015 #12 Naca said: Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me. Click to expand... kwa upasuaji tu
Naca said: Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me. Click to expand... kwa upasuaji tu
N Naca Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Sep 29, 2015 Thread starter #13 Sehemu gani?
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,390 Reaction score 10,465 Sep 29, 2015 #14 labda umerithi
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,424 Sep 29, 2015 #15 mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu.
mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 30, 2015 #16 tpaul said: mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu. Click to expand... Mkuu wengine sio vijeba na wana vigimbi vya hataree Mfano Serena William ni mrefu ila mhhh
tpaul said: mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu. Click to expand... Mkuu wengine sio vijeba na wana vigimbi vya hataree Mfano Serena William ni mrefu ila mhhh