Kwa uzoefu wangu mimi ile kihalali kabisa ili uwe cashier unatakiwa uwe na angalau certificate au Diploma ya mambo ya uhasibu.
Lakini inategemea unataka kuwa cashier wa taasisi gani?kama ni cashier wa sehemu za kawaida kama supermarket au kampuni ndogo ndogo za private hata kama una certificate ya secretarial course au computer applications unaweza kufanya pia.
Wewe umesomea elimu gani?

Ninawajua cashier form four failure,vile vimashine wanavyoscan bidhaa ni kuelekezwa tu ukaelewa. Tena ndo ukute ni kampuni ya wahindi[emoji23][emoji23][emoji23]hata la 4B utafanya. Ukielekezwa tu na ukiwa na uwezo wa kuelewa vitu unafanya bila taab!