Vifurushi vya Tigo (Data, Sms, na Dakika)

Hapo namba mbili hio 4GB ni kwa wiki nzima au kwa mwezi.??

Fafanua kidogo mkuu
 
Halotel gb4 kwa wiki 7000 chenji inabaki hapo ya kununua muda wa maongezi kwenda mitandao yote kwenye 10,000
 
Halotel gb4 kwa wiki 7000 chenji inabaki hapo ya kununua muda wa maongezi kwenda mitandao yote kwenye 10,000
Hiki cha tigo ni kwa mwezi sio wiki mkuu, ila saivi kuna mitandao mingi mteja anachagua aende wapi
 
Hahahahaha naona unataka kuwapiga watu hivyo vifurushi vya dili mbona umevileta hapa jukwaani Tigo kwa nini muwe Na vifurushi vya kibaguzi #TigoTanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…