karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,800 Reaction score 3,261 Jan 5, 2024 #1 Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Tanzania kuna makampuni mengi yanayotoa huduma ya bima hasa bima za Afya. Sasa ukiacha NHIF na CHF naomba kufahamu bei ya vifurushi vya bima za afya kutoka kwenye makampuni mengine ya bima. Natanguliza shukurani
Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Tanzania kuna makampuni mengi yanayotoa huduma ya bima hasa bima za Afya. Sasa ukiacha NHIF na CHF naomba kufahamu bei ya vifurushi vya bima za afya kutoka kwenye makampuni mengine ya bima. Natanguliza shukurani
aron lissu Member Joined Mar 7, 2019 Posts 29 Reaction score 32 Jan 9, 2024 #2 Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance
karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,800 Reaction score 3,261 Jan 20, 2024 Thread starter #3 aron lissu said: Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance Click to expand... Utakuwa umenisaidia sana
aron lissu said: Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance Click to expand... Utakuwa umenisaidia sana
K k123gan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 467 Reaction score 605 Feb 8, 2024 #4 aron lissu said: Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance Click to expand... tunaomba mkeka huo
kitulike JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 286 Reaction score 648 Feb 8, 2024 #5 aron lissu said: Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance Click to expand... utakua umeupiga mwingi
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Mar 1, 2024 #6 Weka vifurishi vya Jubilee na Stategis itapendeza sana