Vifaranga vya interchick ni vizuri, tafuta simu yao piga ni megooogle hii hapa 255-22-2627160 kuona jinsi wanavyoweza kukusaidi
255 (22) 2627160
Mbezi Beach,
P.O. Box 5774, Dar Es Salaam
Mkuu ingawa thread ni ya muda mrefu sanaa but kama bado unahitaji kwa wingi basi nicheck kwenye 0719164301 au 0717332652 utapata vifaranga in one week,TZS 2200 PER DOC,nipo dar