Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Aisee hivyo vidude ni vitamu mno vikichemshwa chukuchuku na salad kidogo , na supu yake ni tiba ya magonjwa anuwai
Aisee kuchemsha tena? Dawa ya nn
Aisee hivyo vidude ni vitamu mno vikichemshwa chukuchuku na salad kidogo , na supu yake ni tiba ya magonjwa anuwai
Bila kuvisafisha!!,
Uchafu ndani ya gamba utautoaje? Labda matope ya nje tuu
Aisee hivyo vidude ni vitamu mno vikichemshwa chukuchuku na salad kidogo , na supu yake ni tiba ya magonjwa anuwai
Serious ni supu nzuri sana inakupa kinga zaidi mwilini-tiba mbadala
Duh.
Ndio maana imekuwa dawa.
Kuna watu akili zao hazitoshi.
Unaanzaje kula kobe?