L livingjohn kiria Member Joined Jan 7, 2016 Posts 17 Reaction score 4 Nov 14, 2016 #1 Kwa wale wanaopata shida kulea vifaranga wa siku moja kampuni ya godson poutry solution wanawaletea vifaranga wa wiki mbili aina ya kenbro,Israeli Na Malawi .vifaranga wamepewa chanjo zote muhimu Bei @2500 Mawasiliano 0621699422 au 0689350805
Kwa wale wanaopata shida kulea vifaranga wa siku moja kampuni ya godson poutry solution wanawaletea vifaranga wa wiki mbili aina ya kenbro,Israeli Na Malawi .vifaranga wamepewa chanjo zote muhimu Bei @2500 Mawasiliano 0621699422 au 0689350805
G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Nov 14, 2016 #2 Mko mikoa ipi? Kama unazo picha weka tuone. Kama mteja nawezaje kutofautisha kifaranga cha wiki kenbro na israel
Mko mikoa ipi? Kama unazo picha weka tuone. Kama mteja nawezaje kutofautisha kifaranga cha wiki kenbro na israel