Vifaa vya Salon ya Kiume vinauzwa

Vifaa vya Salon ya Kiume vinauzwa

Biashara bila picha ni sawa na kupiga ramli kanisani
 
Nimebadili biashara,
Nauza vifaa vifuatavyo;

Mashine (original), sterilizer, jagi, vioo (vyenye frame ya aluminum) na shelf zake za aluminium, vitambaa.

Vyote nahitaji 270,000/= (hakuna dalali).

Vipo Bagamoyo mjini,
Karibuni.

0786737923
Weka pictures
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom